Working: Sun-Fri 08:00–17:00hrs

08 Apr, 2025
SQF Surgery Camps

Surgery Camp at Unguja Zanzibar

SQF imeendesha kambi ya upasuaji kwa watu wenye midomo wazi wapatao 19 kati yao wakiume wakiwa 13 na wa kiuke wakiwa 6 iliyofanyika katika hospitali ya mkoa ya Lumumba iliyopo mjini magharibi Unguja Zanzibar. Kambi hii ilifanyika kwa siku nne (4) kati ya Aprili 8-11. Kambi nyingine huko Zanzinbar itafanyika Agosti mwaka huu